Ahmed amesema wachezaji wote 22 tuliosafiri nao wapo kwenye hali nzuri hakuna aliyepata changamoto ya kiafya wala kimazingira.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia mipango ya Kocha Fadlu Davids katika mechi nne za mwanzo za makundi.