Ahmed amesema hali ya hewa nchini Algeria ni baridi kali lakini kwa muda wa saa 72 ambao wachezaji wetu wamepata kabla ya siku ya mechi itasaidia kuwafanya kutokuwa na changamoto kubwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed atoa ratiba nzima ya timu kuanzia sasa mpaka siku ya mechi.