Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed amezungumzia hali ya kikosi siku ya pili Durban

24 Apr 2025

Ahmed amesema hali ya hewa ni baridi lakini sio kali sana ambayo itawafanya wachezaji washindwe kufanya vizuri huku matumaini makubwa ya kupata matokeo chanya yakiwa ni makubwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amesema hata Stellenbosch sio wenyeji katika mji wa Durban hivyo tutakuwa na faida kubwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story