Ahmed amesema timu ilicheza vizuri muda mrefu kilichoshindikana ni kuweka mpira nyavuni ambapo amemsifu kocha Mkuu Abdelhak Benchikha kwa kuwafanya wachezaji kuwa na stamina.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia pia kuhusu timu kurejea jijini Dar es Salaam.