Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed amesema Tabora walituogopa

2 Feb 2025

Ahmed amesema hatukutarajia kuona jinsi Tabora walivyocheza kutokana na muda mwingi kuzuia hivyo tulitengeneza nafasi nyingi ambazo zilisababisha kufanya makosa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amesema pia ushindi wa leo ni kuwalipa kisasi kwa timu za Dar es Salaam ambazo zimefungwa na Tabora.

Advertisement
Back to homepage
Share this story