Ahmed amesema usajili wake ulihusisha vita ya mabara matatu Asia, Ulaya na Afrika na tulianza mchakato wake tangu Juni mpaka Oktoba ndio tumemsajili.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu matarajio ya Uongozi juu ya Mpanzu.