Ahmed amesema baada ya kikosi kuanza safari saa 9 Alasiri kilipitia katika Uwanja wa Kilimanjaro (KIA) ambapo ndipo iligundulika kuna hitilafu hivyo timu italala jijini Arusha na kesho asubuhi kitaanza safari ya kwenda Morocco.
Tazama Video mpaka mwisho ili kuona jinsi Ahmed alivyoeleza kilichotokea kwa undani hadi timu ikashindwa kusafiri.