Simba Sports Club
News

VIDEO: Ahmed Ally aelezea mipango ya safari ya kuifuata Raja Kesho

27 Mar 2023

Ahmed amesema kikosi kitaondoka na wachezaji 13 huku wengine ambao wapo kwenye majukumu ya timu za taifa wakiunganisha moja kwa moja na kukutana na kikosi nchini Morocco.

Tazama Video mpaka mwisho ili kujua maandalizi pamoja na jinsi tutakavyoingia kwenye mchezo huo huku akiwataja pia wachezaji tutakaowakosa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story