Ahmed amesema ingawa matokeo ya mchezo yalikuwa hayataathiri chochote msimamo wa Kundi lakini mashabiki walijitokeza kwa wingi na walishangilia kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Ahmed ameongeza kuwa kwa ushangiliaji na kuzomea kule kama tusingekuwa na wachezaji wazoefu na michuano hii tungepata dhahama kubwa jana, mashabiki wetu wana jambo kubwa la kujifunza kutoka kwa Raja.
Advertisement
Tazama hadi mwisho kuona mambo mengi ya ndani na nje ya uwanja alivyoelezea Ahmed kuhusu mchezo wa jana.