Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed akutana na 'Wadudu'

24 May 2024

Ahmed amezunguka pamoja na wadudu mitaani kwa ajili ya kuendelea kuwaita Wanasimba ili wajitokeze kwa wingi uwanjani kesho.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story