Ahmed amesema Al Masry ni timu ngumu na ina malengo kama sisi na pia ipo kwenye kiwango bora lakini tumejiandaa vizuri kuhakikisha tunafanya vizuri.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia hali ya mlinzi wa kati Che Fondoh Malone.