Ahmed amesema Ken Gold wanafahamu kupata ushindi au kupata sare dhidi yetu itawaongezea morali ya kufanya vizuri kitu ambacho benchi la ufundi na wachezaji wanafahamu hivyo malengo yanabakia yale yale ya pointi tatu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia hali ya kikosi pamoja na usajili wa kiungo mshambuliaji Elie Mpanzu.