Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed akiri tumeingia makundi kwa njia ngumu

1 Oct 2023

Ahmed amesema Power Dynamos wametupa upinzani mkubwa katika mechi zote mbili lakini malengo yetu yalikuwa kutinga hatua ya makundi na tumefanikiwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amesema pia mpira umebadilika na timu zimejipanga vilivyo kwahiyo tunapaswa kuwa kukubaliana na kila kinachotokea.

Advertisement
Back to homepage
Share this story