Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed akiri 'mfupa mgumu' kwa Dodoma Jiji Jumatano

23 Feb 2026

Ahmed amesema Dodoma ipo juu ya Prisons hata kwenye msimamo na ukiacha hivyo watakuwa wapo nyumbani wakiwa na faida ya wingi wa mashabiki kitu ambacho kitazidi kutupa ugumu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed anaamini kocha Steve Barker ataanzisha 'full mkoko' kama ilivyokuwa kwa Prisons.

Advertisement
Back to homepage
Share this story