Ahmed amesema kwa jinsi mchezo ulivyokuwa unaendelea na wapinzani wetu walivyokuwa wanapoteza muda alishakata tamaa lakini wachezaji wamemuonyesha kwanini wanavaa jezi ya Simba.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia kwa kirefu jinsi mwenendo mzima wa mchezo huo.