Ahmed amesema Simba ni kubwa kwa Pamba hata itokee nini huku akiweka wazi umuhimu wa alama tatu tuliopata leo ambazo zimetufanya kuendelea kubaki kileleni.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia kiwango bora cha mshambuliaji Leonel Ateba.