Ahmed amesema benchi la ufundi linafanya kazi kubwa mazoezini kuhakikisha viwango vya wachezaji vinakuwa sawa na matunda yake ni haya yaliyooneshwa leo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia mipango ya timu kuelekea mechi za Ligi Kuu ya NBC zinazofuata