Simba Sports Club
News

VIDEO: Ahmed afunguka zoezi la kuwaaga wachezaji kumalizika wiki hii

27 Jun 2023

Ahmed amesema mazungumzo baina ya wachezaji ambao wana mikataba na hatutaendelea nao kwa ajili ya msimu ujao yanaendelea na ndani ya wiki hii zoezi hili litakamilika.

Fuatilia hadi mwisho mahojiano haya ili kujua usajili kabambe ambao tunaendelea kuufanya kwa ajili ya msimu ujao wa ligi 2023/24.

Advertisement
Back to homepage
Share this story