Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka ushindi dhidi ya Dodoma

17 May 2024

Ahmed amewasifu wachezaji kwa kazi kubwa waliyofanya wa kupambana hadi mwisho kuhakikisha tunapata pointi zote tatu.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya Ahmed pia amewaita mashabiki kujitokeza uwanjani kwakuwa mechi zetu zote zilizosalia tutacheza nyumbani.

Advertisement
Back to homepage
Share this story