Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka ujio wa Kocha Benchikha

28 Nov 2023

Ahmed amesema Benchikha ni aina ya kocha ambaye Simba ilikuwa inamuhitaji na anaamini na anamuombea kufanikiwa zaidi ndani ya kikosi chetu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia ratiba nzima ya kocha kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Advertisement
Back to homepage
Share this story