Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka thamani ya bao la Mpanzu

11 Mar 2026

Ahmed amesema pamoja na kutuhakikishia ushindi kwenye mchezo mgumu lakini pia litasaidia kurejesha hali ya kujiamini kwa Mpanzu mwenyewe baada ya kupitia kipindi kigumu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia mchezo wote kwa undani huku akitaja jinsi wachezaji wa Singida walivyocheza.

Advertisement
Back to homepage
Share this story