Ahmed amesema haikuwa rahisi kufika hatua hii lakini wachezaji walipambana na na kufuata maelekezo ya benchi la ufundi na kufanya hivyo wanastahili pongezi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amesema sasa malengo yetu ni kuchukua ubingwa wa Shirikisho Afrika.