Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka msimu mzima ulivyokuwa

22 Jun 2025

Ahmed amesema kocha Fadlu Davids na wasaidizi wake wamekiandaa vema kikosi ambacho wachezaji wengi ni vijana huku wakiwa hawana uzoefu wa ligi lakini wamepambana hadi kufika hatua hii.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu Dabi ya Kariakoo itakayopigwa Juni 25.

Advertisement
Back to homepage
Share this story