Ahmed amesema miaka ya nyuma ilikuwa timu inaondoka mafungu mafungu na kusababisha wachezaji kushindwa kufanya vizuri mwanzoni lakini sasa ni tofauti.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mlinda mlango Ayoub Lakred.