Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka mchezo dhidi ya Pamba Jiji

18 Mar 2026

Ahmed amesema wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo kwa utulivu na hakuna changamoto yoyote iliyojitokeza na pia hali ya uwanja iko vizuri tayari kwa mchezo wa kesho.

Tazama mahojiano haya hadi Ahmed ametoa historia ya miaka ya nyuma tukija kucheza CCM Kirumba akitaja timu za Pamba, Toto African na Mbao FC.

Advertisement
Back to homepage
Share this story