Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka mbio za ubingwa za Simba Queens

18 Mar 2025

Ahmed amesema kupoteza mchezo wa leo kumeongeza ugumu kwenye kutetea ubingwa wetu lakini hatujatoka kwenye malengo ambayo tumejiwekea.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mechi zetu zilizosalia.

Advertisement
Back to homepage
Share this story