Ahmed amesema baada ya kuondoka kwa wataalam hao mipango ya klabu ni kuwaleta wapya watakao ungana na benchi la ufundi chini ya kocha Roberto Oliviera 'Robertinho' kabla ya kuanza kwa maandalizi ya msimu (Pre Season).
Angalia hadi mwisho mahojiano haya, Ahmed ameongea pia kuhusu mipango kabambe ya usajili mpya tutakaofanya kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24.