Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka maandalizi ya timu kuelekea mchezo dhidi ya Fufuni

4 Jan 2026

Ahmed amesema pamoja na ugumu wa michuano hii ambayo tunategemea kukutana nayo lakini bado mipango yetu ni kuhakikisha tunatwaa ubingwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kipindi chake cha miaka minne chakuwa Meneja Habari.

Advertisement
Back to homepage
Share this story