Ahmed ambaye ameuita 'dabi ya Nyekundu' kutokana na timu zote kuvaa jezi nyekundu zikiwa nyumbani utakuwa mgumu kutokana na historia pamoja na ubora uliopo kwa sasa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametaja Viingilio vya mchezo pamoja na kutuma ujumbe kwa mashabiki.