Ahmed amesema wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri na hakuna aliyepata maumivu kwenye mchezo uliopita wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Visiwani Zanzibar.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ameweka hadharani Viingilio vya mchezo pamoja na ratiba nzima ya timu baada ya mchezo dhidi ya B19.