Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka kurejea kwa Aubin Kramo

3 Jan 2024

Ahmed amesema kuhusu lini atarejea rasmi kikosini taarifa itatolewa baada ya kufanyiwa vipimo na madaktari ili kujua yupo tayari kushuka dimbani au anahitaji muda zaidi wa kujiweka sawa.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho Ahmed amezungumzia kuhusu usajili wa wachezaji wapya.

Advertisement
Back to homepage
Share this story