Ahmed amesema hakuna yoyote mwenye shaka na uwezo waliionyesha katika kipindi chote tangu watue kikosini ndio maana tumewaongeza mkataba.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya Singida Black Stars utakaopigwa keshokutwa Jumatano.