Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka kuhusu upana wa kikosi

7 Mar 2026

Ahmed amesema kwenye kila nafasi uwanjani mchezaji aliyepangwa ameitendea na haki na hiyo ndio tafsiri sahihi ya kikosi kipana.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amewataja wachezaji mmoja mmoja na kile walichokifanya uwanjani.

Advertisement
Back to homepage
Share this story