Ahmed amesema Prisons hawapo nafasi nzuri kwenye msimamo lakini bado haifanyi mchezo kuwa mwepesi lakini timu ipo tayari kupambana hadi mwisho na lengo ni kupata alama tatu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia hali ya kiungo mshambuliaji Kibu Denis ambaye aliuukosa mchezo uliopita.