Ahmed amesema wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri kwa ajili ya mchezo wa kesho huku akiweka wazi kuwa tutamkosa mlinzi wa kulia Shomari Kapombe ambaye anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mpango wa timu wa kushinda mechi zote zilizosalia.