Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka kuhusu hali ya majeruhi, awataja Bajaber, Camara, Hamza

15 Oct 2025

Kuhusu mlinda mlango Moussa Camara ambaye alikuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa yaUongozi unasubiri ripoti ya madaktari hasa baada ya kutokupata nafasi kwenye timu ya Taifa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia hali ya mlinzi Abdulazak Hamza.

Advertisement
Back to homepage
Share this story