Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka kikosi kurejea mazoezini Mo Arena

15 Jan 2025

Ahmed amesema maandalizi ya mchezo huo yanaendelea vizuri huku akiweka wazi kuzuiwa kuingiza mashabiki kwenye mchezo huo ni pigo kubwa kwa Uongozi, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki wenyewe.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia utaratibu rasmi wa kulipa faini tuliyopewa na CAF utakavyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story