Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka baada ya kupangwa na Al Ahly

12 Mar 2024

Ahmed amesema pamoja na ubora na ukubwa walionao Al Ahly lakini sasa umefika muda kuonyesha nasi ni wakubwa barani Afrika na tunajipanga kuwatoa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumza mengi kuelekea mchezo huo ambapo mechi ya kwanza itapigwa kati ya Machi 29 na 30 jijini Dar es Salaam.

Advertisement
Back to homepage
Share this story