Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka baada ya kufika Dodoma

28 Sep 2024

Ahmed amesema kikosi kipo kwenye hali nzuri huku akiweka wazi kuwa tutaendelea kuwakosa viungo Yusuph Kagoma na Mzamiru Yassin ambao hali zao zimeendelea kuimarika.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mipango ya timu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story