Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Ahmed afunguka A-Z Simba Day 2025

11 Sep 2025

Ahmed amesema Simba Day ni siku kubwa kwetu kwahiyo mpaka kukamilika kwake ni mchakato mkubwa unaombatana na vikao vya mara kwa mara hadi kufikia siku ya kilele.

Ahmed amefunguka kila kitu kuanzia burudani, alivyoingia uwanjani, alivyowatambulisha wachezaji, mechi ilivyokuwa mpaka mapato yaliyopatikana.

Advertisement
Back to homepage
Share this story