Ahmed amesema tulihitaji kushinda leo ili kurejea kileleni mwa msimamo pili tulihitaji Ladaki Chasambi kufunga ili kuwanyamazisha watesi wake pamoja na Elie Mpanzu kufunga vyote tumevipata.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa shukrani kwa mashabiki.