Ahmed amesema ukimaliza kinara wa kundi unapata faida ya kuanza ugenini na kumalizia nyumbani mechi za robo fainali na hiyo ni moja silaha inayotumiwa na karibia kila timu Afrika.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia ratiba ya kurejea kwa timu pamoja na kuanza zoezi la hamasa.