Ahmed amesema tukiwa Uturuki tunategemea kucheza mechi tatu za kirafiki za kimazoezi kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam, Agosti Mosi.
Tazama hadi mwisho mahojiano haya kujua utambulisho wa wachezaji wengine wapya ambao tutawatangaza muda wowote kutoka sasa.