Ahmed amesema katika safari ya kesho tutawakosa mlinda mlango Ayoub Lakred anayetumikia adhabu ya kadi tatu za njano na Willy Onana anaeyeuguza majeraha.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mchezo ulioahirishwa dhidi ya Mtibwa Sugar.