Ahmed amesema katika mchezo wa kesho tutakosa huduma ya viungo wetu wakabaji Yusuph Kagoma na Mzamiru Yassin kutokana nakuwa majeruhi.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia mwaliko wa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi na maagizo tuliyopewa.