Ahmed amesema wachezaji wamepata siku tatu ya kufanya mazoezi nchini Tunisia na hali ya hewa ya baridi haitakuwa changamoto kwakuwa tayari wamezoea.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia hali za wachezaji akiwemo Elie Mpanzu ambaye atacheza mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho.