Simba Sports Club
News

VIDEO: Ahmed aelezea Maandalizi ya Coastal Union kesho

27 Jan 2023

Ahmed amesema kikosi kimekamilika baada ya wachezaji wote waliokuwa majeruhi kufanya mazoezi na wenzao hivyo benchi la ufundi litakuwa na wigo mpana wa kupanga kikosi.

Tazama mpaka mwisho video hii Ahmed ameeleza kila kitu kuhusu mchezo wa kesho.

Advertisement
Back to homepage
Share this story