Simba Sports Club
News

VIDEO: Ahmed aelezea maandalizi baada ya timu kufika Misri

22 Oct 2023

Ahmed amesema wachezaji wamefanya mazoezi ya utimamu wa mwili na kesho watafanya mazoezi ya mwisho huku hali ya hewa ikiwa kama ilivyo jijini Dar es Salaam kwahiyo haitawasumbua wachezaji wetu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho ili kujua kila kinachoendelea nchini Misri.

Advertisement
Back to homepage
Share this story