Taifa Stars imerejea nchini leo asubuhi kutoka Ivory Coast ilipokuwa inashiriki michuano ya AFCON ambapo nyota wetu wamepewa siku moja ya mapumziko na kesho watajiunga na wenzao.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia ugumu wa ratiba katika mwezi Februari.