Ahmed amesema kiufundi kila kitu kipo sawa, hamasa zinaendelea vizuri kilichobaki ni mashabiki kuendelea kununua tiketi ili kujitokeza kwa wingi uwanjani Jumanne.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Ahmed amezungumzia jinsi morali za wachezaji zilivyo kuelekea mchezo huo.